POLISI YATOA DAU LA SH MIL.3 KWA MTU ATAKAYEFANIKISHA KUWAKAMATA WALIOMTEKA MTOTO ALBINO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC)Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Valentiono Mlowola akionyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) picha ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Pendo Emmanuel (4) aliyetekwa na watu wasiojulikana na kutokomea naye.Hadi sasa hajapatikana wala mwili wake tangu atekwe Deesemba 27,mwaka jana.Polisi wametangaza dau la sh 3 milioni kwa mtu atakayefanikisha kutoa taarifa zitakazowezesha kupatikana kwake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU