PSQUARE NA CHELSEA NI KAMA SAMAKI NA MAJI

Bila shaka hutakuwa na swali la kujiuliza kuhusu timu wanazoshabikia Peter na paul Okoye wanaounda kundi la Psquare, baada ya wasanii hao kushea picha wakiwa wametupia  uzi wa Chelsea pamoja na watoto wao wa kiume. Watazame jinsi walivyotokelezea hapo chini
Paul Okoye na Mtoto wakePaul Okoye na mtoto wake wa kiume ‘Andre’ wakiwa wametinga uzi wa Chelsea
Peter Okoye na mtoto wake wa kiume Peter Okoye na mtoto wake wa kiume ‘Cameron’ nao wakiwa wametupia jezi za Chelsea

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI