RAIS WA ZANZIBAR DR. ALI MOHAMMED SHEIN AFUNGUA BARABARA YA UMBUJI

      

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji Viongozi wakati alipowasili leo katika uzinduzi wa Barabara ya Njia nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni katika  shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe  kufungua Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja leo iliyojengwa na Serikali kupitia kitengo cha Idara ya ujenzi Barabara UUB ikiwa ni katika  shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar (kulia) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji na (kushoto) Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija,[Picha na Ikulu.] unnamed2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akifungua pazia kama ishara ya   kufungua Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja leo iliyojengwa na Serikali Mapinduzi kupitia kitengo cha Idara ya ujenzi Barabara UUB ikiwa ni katika  shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar  (kushoto) Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija,[Picha na Ikulu.] unnamed4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Viongozi mbali mbali wakitembea katika Barabara ya Njia NNe -Umbuji Wilaya ya Kati Unguja mara baada ya kuifungua rasmi leo ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed5 Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili,akitoa ripoti ya kitaalamu leo wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya  ya Kati Unguja baada ya kufunguliwa na Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed6Wananchi na wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya  ya Kati Unguja baada ya kufunguliwa na Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed7 Msoma Risala Farida Rajab  akisoma risala hiyo mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne-Umbuji Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni   katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed8 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Barabara ya Njia Nne -Umbuji Wilaya  ya Kati   Mkoa wa Kusini Unguja  zilizofanyika leo kijiji cha Umbuji ikiwa ni katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI