Ridhiwani Kikwete ashiriki mazishi Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa Pwani, SALEHE MPWIMBWI

 MBUNGE Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono, mazishi yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari yake binafsi akitokea kijiji cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka taili na kupinduka
KAKA wa Rais Jakaya Kikwete Selemani Kikwete akiweka mchanga katika Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono, mazishi yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari yake binafsi akitokea kijiji cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka taili na kupinduka.PICHA NA OMARY SAID

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA