RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA JENGO LA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MAGEREZA YA BWAWANI, CHALINZE


 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Bwawani katika Kijiji cha Visakazi Jimbo la Chalinze. Shule hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Ridhiwani akivishwa skafu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Bwawani alipowasili katika shule hiyo leo
 Ridhiwani akiwa amekabidhiwa shada la maua
 Ridhiwani akikgua gwaride la wanafunzi wa shule hiyo lililoandaliwa maalumu kwa ajili yake
 Ridhiwani akilakiwa na maofisa wa Jeshi la Magereza
 Ridhiwani akiwa na maofisa wa jeshi hilo Kaimu Mkuu wa Magereza, Emmanuel Lwinga na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Luganunulauu
 Ridhiwani akihutubia wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Shule hiyo,Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Emmanuel Lwinga na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Luganunula

 Ridhiwani akiwa amekaa katika moja ya madawati yaliyomo katika moja ya vyumba vipya vya madarasa
 Ridhiwani akikagua jengo hilo jipya
Ridhiwani akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya jengo hilo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI