Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwa na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk (kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis wakiwa katika Taarab rasmi iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,[Picha na Ikulu,] Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Pili balozi Seif Iddi (kulia) akiwa na Waziri wa Kilimo na Maliasili Dkt.Sira Ubwa Mamboya wakiwa katika Taarab rasmi ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu,] Baadhi ya wananchi na mashabiki wa Taarab waliohudhuria katika hafla ya Taarab hiyo ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu,] Mwimbaji wa Kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club Mtumwa Mbarouk akiimba wimbo wa “Mpewa hapokonyeki” wakati wa Taarab rasmi ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unmguja,[Picha na Ikulu,] Waimbaji wa Kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club Asha Alli na Khamis Nyange wakiimba wimbo wa miaka 51 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar uliotungwa na Profesa Gogo mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unmguja,[Picha na Ikulu,] Mwimbaji wa Kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club Saada Mohammed akiimba wimbo uanosema “kweli nnae” wakati wa Taarab rasmi ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unmguja,[Picha na Ikulu,]
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments