VIJANA WAFANYA MAANDAMANO KUUNGA MKONO HOTUBA YA DK SHEIN YA KUONDOA MICHANGO MASHULENIA CCM ZANZIBAR WAFA

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano  na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr  Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ZANZIBAR) 4 
Vijana kutoka majimbo mbalimbali wakiwa wamekaa katika mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*