WAZIRI KIONGOZI MSTAAFU SHAMSI VUAI NAHODHA AFUNGUA SKULI YA SEKINDARI YA JUMBI.

unnamed1qWaziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akikata utepe ikiwa ni isharaya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar. unnamed2qWaziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitembelea maeneo mbalimbali ya Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua.Kushoto yake ni Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo Juma Vuai Mshamba. unnamed3qWaziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha wakwanza kulia akiangalia Madawati yaliomo katika moja ya madarasa ya Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
unnamed4q-Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  Zahra Ali Hamad.akitoa hotuba ya makaribisho kwa Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka  51ya mapinduzi ya Zanzibar. unnamed5qWaziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI