CHUO CHA BIASHARA DAR ES SALAAM (CBE) CHATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MANZIMMOJA

      

cb1Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka  ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar). cb2Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema akitoa maelezo kuhusu maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo  katika hafla ya kukabidhi mashuka katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Zanzibar, kulia ni  Naibu  Mkuu wa Chuo hicho anaeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri Dkt. Esther R. Mbise. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI