DIAMOND AFANYA SHOO YA KUFA MTU KILELE CHA MIAKA 38 YA CCM SONGEA

 Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Naseeb 'Diamond Platnamz' akifanya  vitu vyake wakati wa maadhimisho ya miaka 38 ya CCM kwenye Uwanja wa Maji Maji, mjini Songea leo,  mbele ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani)
 Ndege iliyo kulia ndiyo iliyokodiwa na mwanamuziki Diamond kumpeleka Songea na kurudi nayo Dar
 Diamond akiwasili na mpenzi wake Zari pamoja na kundi lake kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea tayari kutoa burudani kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM


 Wakikimbilia kwenda kuona burudani iliyokuwa inatolewa na Diamond kwenye maadhimisho hayo

 Mkuu wa Wilaya ya Songea , akiwa na mtoto aliyekanyagwa  wakati watu wakikimbilia kumuona Diamond

 Mmoja wa Chipukizi wa CCM akiokolewa ili asikanyagwe wakati Diamond akifanya shoo
 Sehemu ya umati wa watu wakishuhudia shoo ya Diamond
 Wakazi wa Songea wakigombea kumuona Diamond akifanya vitu vyake
 Ni shoo kwa kwenda mbele

 Mmoja wa watoto wa chipukizi akiwa amebebwa akipelekwa kupata huduma ya kwanza baada ya kubinywa na watu waliokuwa wakikimbilia kuangalia shoo ya Diamond

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*