JENGO LA GHOROFA LA NHC LAUNGUA DAR

 Wananchi wakilishangaa jengo lililokuwa likiteketea kwa moto la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lenye ghorofa mbili, Kitalu namba 1809/88, makutano ya Mitaa ya Libya na Mosque, Kitumbini, Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo, kimeelezwa kuwa ni hitilafu ya umeme. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
Askari wa Kikosi cha Zimamoto, wakiwa kazini kuuzima moto uliokuwa ukiwaka kutokana na kilichoelezwa kuwa hitilafu ya umeme, kwenye jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lenye ghorofa mbili, Kitalu namba 1809/88, makutano ya Mitaa ya Libya na Mosque, Kitumbini, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.