KAMANDA MWAIKENDA ALIPOTEMBELEA MACHIMBO YA TANZANITES MIRELANI

 Mmiliki wa Blogu hii ya Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda (kushoto), akiangalia madini aina ya Tanzanite alipotembelea mgodi wa Tanzanite One, Mirelani, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara 2011. Hapo ni chini ya ardhi takribani mita 600 kwenda chini. Tulipanda kiberenge kuingia kwenye machimbo hayo. Tanzania ni nchi pekee duniani inayochimbwa Tanzanite.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI