NAPE AKABIDHI MATREKTA KWA WAKULIMA 7



 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi funguo za trekta kwa Mwalimu wa Shule ya msingi Kwadelo Bw. Hamza Haji, matrekta saba yalikabidhiwa leo kwa wakulima chini ya usimamizi wa Diwani wa Kwadelo Alhaji Omari Kariati.(Picha na Adam Mzee)

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi funguo za trekta kwa Dk. Edmund Mndolwa ambaye ni Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ikiwa sehemu ya matrekta saba yaliotolewa na Alhaji Omari Kariati Diwani wa Kwadelo.
 Matreka ya Kariati
 Moja ya matrekta waliokabidhiwa wakulima ,Alhaji Omari Kariati ameshatoa matrekta 100 mpaka leo tarehe 5 februari 2015.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi matrekta saba kwa wakulima yaliyotolewa na Diwani wa Kwadelo Alhaji Omari Kariati ambapo aliwataka viongozi kushiriki shughuli za wananchi (Picha na Adam Mzee).
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akijaribu kuendesha trekta mojawapo kati ya matrekta saba aliyokabidhi funguo kwa wakulima kutoka sehemu mbali mbali nchini, waliopanda trekta hilo kushoto ni Mjumbe wa NEC kutoka Wilaya ya Korogwe Vijijini Dk. Edmund Mndolwa na kulia ni Diwani wa Kwadelo Alhaji Omari Kariati.(Picha na Adam Mzee)
 Mafundi wakiendelea kuunganisha matrekta ya Kariati ambayo yametolewa na Alhaji Omari Kariati.(Picha na Adam Mzee)
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Kariati inayoshughulika na matrekta ya kilimo Kinondoni Vijana Jijini Dar es salaam.(Picha na Adam Mzee)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na MNEC wa Korogwe Vijijini Dk. Edmund Mndolwa (kushoto) kulia ni Diwani wa Kwadelo Alhaji Omari Kariati kwenye ofisi ya Kariati inayoshughulika na matrekta ya kilimo Kinondoni Vijana Jijini Dar es salaam.(Picha na Adam Mzee)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.