RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR ES SALAAM



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zamwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika nawaomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget 
 Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi 
 
Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka udongokwenye kaburi la Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji 
 Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko 
 
Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada
kwenye kaburi la Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji
Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko
Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.

PICHA NA IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI