RAIS KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM

      

ag1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Kiongozi wa madhehebu ya
Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana baada ya kumkabidhi hati ya Chuo
Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu
jijini Dar es salaam
ag2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza  Kiongozi wa madhehebu ya
Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati
ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23,
2015 Ikulu jijini Dar es salaam
ag3 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya
Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan
kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es
salaam
ag4 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongeqa kwa furaha na
Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea
baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es
salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
ag6Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu ya

Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa  kumkabidhi hati ya Chuo
Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu
jijini Dar es salaam
PICHA NA IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU