RIDHIWANI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA MKAZI AMBAYE NYUMBA YAKE ILIEZULIWA NA KIMBUNGA CHALINZE

KATIBU wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoa wa Pwani Ridhiwani Kikwete,
Idd Swala (mwenye kibaraghashia) akimkabidhi Maria Stephano mmoja wa
watu waliopatwa na kadhia ya kubomolewa kwa nyumba wanayoishi kufuatia
upepo mkali ulioambatana na mvua kidogo ambayo imebomoa nyumba kadhaa
na kujeruhi baadhi ya wakazi ambao ni zaidi ya 131, (mwenye suti
nyeusi) kulia ni ofisa Mtendaji Kata ya Msoga Mtamani Hassan, kila
mkazi aliyepatwa na kadhia hiyo kati ya hao 131 alipata mchele kilo 5,
unga kilo 5, maharage kilo 5 na sukari kilo 1. (PICHA NA OMARY SAID).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI