Acacia CEO Excellence Award 2014 yawazawadia tuzo Wanayakazi bora

Meneja wa usalama na operesheni wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (mstaafu), Abdallah Mssika, (katikati), akipokea tuzo ya umahiri ya ‘cacia CEO Excellence Award 2014’ na Afisa Mtendaji Mkuu wa Acacia, Brad Gordon, wakati wa hafla ya kutoa tuzo kwa viongozi wa juu wa mgodi na wafanyakazi waliofanya vizuri mwaka uliopita. Hafla hiyoilifanbyika kwenye mgodi wa Bulyanhulu, wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga juzi. Kushoto ni Meneja wa mgodi wa Bulyanhulu, Michel Ash.
Meneja wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, unaomilikiwa na kampuni ya Acacia, Michel Ash, (kushoto), akimkabidhi tuzo ya umahiri ya Acacia CEO Excellence Award 2014, mfanyakazi wa mgodi huo, Andy Mwakibete, wakati wa hafla ya kutoa tuzo iliyofanyika kwenye mgodi huo juzi.
Meneja wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, Michel Ash, akitoa hotuba

Afisa Mtedaji Mkuu wa Acacia, Brad Gordon, akitoa hotuba
 Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, akiserebuka wakati wa hafla hiyo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), akimkabidhi tuzo ya umahiri 'CEO Excellence Award', afisa kutoka kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa umma wa mgodi wa dhahabu wa North Mara, Geoffrey Nangai, aliyepokea kwa niaba ya mgodi huo, kwenye hafla ya kila mwaka ya kutoa tuzo kwa vitengo na wafanyakazi mmoja mmoja wa kampuni ya Acacia ilifanyika juzi kwenye mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, wilaya ya Msalala mkoa 2wa Shinyanga.(Picha na mpiga Picha wetu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI