Airtel yakabadhi wakaazi wawili wa Mkoa wa Manyara magari aina ya Toyota IST


 
 Staff Sergeant wa wilaya ya Hanang Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya Toyota IST Bwn Mohamed Ahmed Khamisi mara baada  kuibuka mshindi wa droo ya wiki ya nne ya promosheni ya Airtel yatosha Zaidi.  Bi Emiliana ni mfanya biashara ndogo ndogo  na mkazi wa wilaya ya Hanang mkoani Manyara akishuhudia ni meneja mauzo wa Airtel kanda ya kaskazini bwana Brighton Majwala
 Staff Sergeant wa wilaya ya Hanang Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya Toyota IST Bi Emiliana Tarmo HHaway mara baada  kuibuka mshindi wa droo ya wiki ya tano ya promosheni ya Airtel yatosha Zaidi.  Bi Emiliana ni mkulima na mkazi wa wilaya ya Hanang mkoani Manyara akishuhudia ni meneja mauzo kanda ya kaskazini bwana Brighton Majwala
 Mshindi wa gari aina ya Toyota IST kupitia promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi bwana Mohamed Ahmed Khamisi akiwasha gari lake mara baada ya kukabithiwa gari yake katika halfa iliyofanyika katika uwanja wa mnada wa edasak wilaya ya Hanang mkoani Manyara

 Mshindi wa gari aina ya Toyota IST kupitia promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi Bi Emiliana Tarmo HHaway akifungua gari yake mara baada ya kukabidhiwa katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa mnada wa edasak wilaya ya Hanang mkoani Manyara
Burudani katika hafla hiyo iliyofanyika katika uwanja wa mnada wa edasak wilaya ya Hanang mkoani Manyara.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA