ICT, TIC KUONGEZA UWEKEZAJI NCHINI



 Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akikaribishwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza wakati alipowasili kwenye Ofisi za Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) leo Machi 23.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka wakati alipowasili kwenye Ofisi za Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) leo Machi 23.Kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa akiwasalimia baadhi ya Wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) waliojitokeza kumpokea wakati alipowasili.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (wa pili kushoto) akizungumza jambo na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji,Mh. Ing. Christopher Chiza pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Prof. Lucian Msambichaka.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Juliet Kairuki.
Rais mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (awamu ya tatu) na Mwenyekiti Mwenza wa ICF,Mh. Benjamin Mkapa (wa pili kulia) akizungumza na Uongozi wa Juu wa Taasisi inayoshughulikia mazingira ya Uwekezaji Barani Afrika (ICF-Africa) pamoja na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya kusaidia kuvutia na kuongeza uwekezaji wa ndani na nje ya nchini baina ya taasisi hizo mbili,uliofanyika leo Machi 23,2015 kwenye ofisi ya TIC jijini Dar es salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI