JK AQZINDUA AZAM TV YA KISASA DAR


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara  pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV   wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa Studio mpya za Azam Tv zilizoko Tabata jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa Studio mpya za Azam Tv zilizoko Tabata jijini Dar es salaam.



Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando.
Mhando mwenye uzoefu wa kuongoza Kampuni za vyombo vya habari zikiwemo idhaa ya Kiswahili BBC, Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na Mwananchi Communications Limited (MCL) amesema kuwa studio hizo zina ubora kuliko nyingine zote nchini.

Jumla ya dola za Kimarekani milioni 31 (zaidi ya sh. Bilioni 56 za Tanzania) zimetumika kutengeneza studio mpya za kisasa za Azam Tv, zilizopo eneo la Tabata jijini Dar es salaam.

Mc wa uzinduzi ni Taji Liundi.
Jicho la kamera.
Mwanamuziki Barnaba akiburudisha.
Wageni waalikwa.
Eneo la tukio meza kuu na wageni waalikwa.
Sehemu ya studio mpya za Azam Tv zilizoko Tabata jijini Dar es salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.