KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI LONGIDO

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akinyonya dawa kwenye chupa wakati aliposhiriki katika kazi ya kutibu mifugo kwenye mradi wa Ufugaji wa Ng’ombe Madume ya Mbegu Bora  katika kijiji cha Ketumbeine wilayani Longido mkoani Arusha, akiendelea na ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Arusha yenye lengo la Kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, anayeshuhudia tukio hilo kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Ndugu Onesmo Ole Nangole(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-LOMGODO-ARUSHA) 2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtibu kwa  kumchoma sindano  shingoni wakati alipotembelea mradi wa Ufugaji wa Ng’ombe Madume ya Mbegu Bora  katika kijiji cha Ketumbeine wilayani Longido mkoani Arusha 3Mkuu wa wilaLongido  mkoani Arushan Ernest Kahindi akiupokea msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili katika kijiji cha Ketumbeine wilayani Longido tayari kwa kukagua miradi. 4Akina mama wa Kimasai wakiwa wamejipanga mstari wakimsubiri Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili katika kijiji cha Ketumbeine 5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wakati alipowasili katika kijiji cha Ketumbeine. 6Kikundi cha ngoma cha akina mama wa kimasai kikitumbuiza. 7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi . 8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika kijiji Lesingeita Mundarara wakati alipokagua ujenzi wa nyumba ya watumishi wa Afya. 9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa nyumba ya watumishi wa afya katika kijiji Lesingeita Mundarara wakati, Kulia ni Mbunge wa jimbo la Longido Michael Lekule. .10Baadhi ya ng’ombe madume bora. 12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mkuu wa wilaya ya Longido Ernest Kahindi  na Nape Nnauye wakati alipowasili  katika kijiji Lesingeita Mundarara. 13Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na mbunge wa jimbo la Longido Mh. Michael Lekule wakiakishiriki kupaka rangi katika majengo ya kituo cha mafunzo cha LIL Learning Centre. mjini Longido. 14Baadhi majengo ya kituo hicho. 15Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizweka jiwel la msingikatika nyumbo ya kitega uchumi ya mjasiriamali mjini Longido. 16Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Ndugu  Onesmo Ole Nangole. 1Mbunge wa jimbo la Longido Mh. Michael Lekule akizungumza na wananchi katika kijiji cha Eworendeke wilayani Longodo. 2Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo. 3Nape Nnauye akizungumza na wananchi katika mkutano uliofanyika katika kijiji cha Eworendeke wilayani Longido. 4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi na bendera kutoka kwa Bw. Oscar Longido aliyekuwa mwenyekiti wa Chama hicho Namanga aliyejiunga na CCM. 5wakati wa mkutano huo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijadili jambo na Nape Nnauye  6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika kijiji cha Eworendeke. 8Baadhi ya akina mama wakicheza ngoma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI