KOMREDI KINANA AMMWAGIA SIFA LUKUKI ANNE KILANGO, SAME

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa daraja la Mang'a Jimbo la Same
Masharikiwakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Jimbo hilo linaongozwa na Mbunge Anne Kilango ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Komredi Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, amemmwagia sifa lukuki, Anne Kilango kwa ujasiri na uchapakazi wake katika jimbo la Same Mashariki.
 Komredi Kinana akishiriki kuponda kokoto zinazotumika kujengea daraja la Mang'a Jimbo la Same Mashariki.

 Komredi Kinana akizungumza baada ya kushiriki ujenzi wa daraja la Mang'a, huku akionekana Mkuu wa Wilaya ya Same, Heman Kapufi akimsaidia Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango kuvuka kwenye mto.
 Komredi Kinana akisalimiana na wananchi alipowasili kukagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi Mheza/Moore, wakati wa ziara yake katika jimbo la Same Mashariki.Kutoka kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango.
 Kilango akielezea jinsi Chuo cha Ufundi cha Mheza/Maore ujenzi wake unavyoendelea. Chuo hicho kitakuwa na uwezo wa kusomesha wanafunzi 300



















Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI