MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA JAPAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA KAZI NCHINI, MASAKI OKADA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2015. Balozi Okada alifika ofisini kwa Makamu kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR jap2 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2015, kwa ajili ya mazungumzo na kumuaga rasmi baada kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR jap3 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2015, kwa ajili ya mazungumzo na kumuaga rasmi baada kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR jap4 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Balozi wa Japan nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake wa kazi, Masaki Okada, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Okada alifika ofisini kwa Makamu kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*