MSAFARA WA KINANA WALAKIWA KWA FARASI MOSHI VIJIJINI

 Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ukilakiwa kwa Farasi wakati wa mapokezi katika Kijiji cha Mikocheni, Kata ya TPC, Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Komredi Kinana (kulia) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Cyril Chami (katikati), pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama walipokuwa wakishiriki kuvuna mpunga katika Kijiji cha Mabogini, Moshi Vijijini.
 Komredi Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye wakilakiwa katika Kijiji cha Mikocheni, Kata ya TPC, Moshi Vijijini.

 Komredi Kinana akiwa amevaa mgolole aliozawadiwa na wananchi wa Kijiji cha Mikocheni.
 Nape akivishwa mgolole na wakazi wa Kijiji cha Mikocheni, Kata ya TPC, Moshi Vijijini leo.


 Komredi Kinana akilakiwa na kikundi cha ngoma ya asili ya wachaga Iringi alipowasili katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Jimbo la Moshi Vijijini.
 Kinana akizawadia na wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Moshi Vijijini.
 Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Cyril Chami akielezea utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Jimbo hilo.
 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano uliohutubiwa na Komredi Kinana katika Kijiji cha Mabogini, Moshi Mjini
 Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Mabogini
 Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akizungumza alipokaribishwa kujitambulisha katika shule mpya ya Ufundi ya Kibosho, Moshi Vijijini
 Komredi Kinana akihutubia katika Chuo cha Ufundi cha Kibosho, Moshi Vijijini aliposhiriki kupanda miti katika shule hiyo. Kinana aliwahimiza wanafunzi kusoma masomo ya sayansi ambayo akifuzu ni rahisi kuajiriwa ama kupata kazi.
 Komredi Kinana akipanda mti wa kumbukumbu mkati Chuo cha Ufundi cha Kibosho, Moshi Vijijini

Mmoja wa wasanii ,akihudumiwa, ambaye aliitwa kama Ukawa kwamba mwisho wake utakuwa Oktoba mwaka huu. 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU