NAPE AHOJIWA LIVE NA KITUO CHA REDIO 5 JIJINI ARUSHA

NAPE REDIO 5 2
Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akiwa katika studio za Redio 5 zilizopo njiro jijini Arusha akihojiwa live na kituo hicho juu ya utekelezaji wa ilani ya CCM pamoja na ziara ya katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana inayoendelea katika mkoa wa Arusha,kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho David Rwenyagira
???????????????????????????????
Mkurugenzi wa Kampuni ya TANMEDIA inayomiliki Kituo cha Redio 5 kilichopo Njiro jijini Arusha Robert Fransic katikati,kulia Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye wakibadilishana mawazo, kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo kabla ya kuingia studio kwa mahojiano maalum jana
NAPE REDIO 5 3
Muonekano katika studio hizo wakati wa mahojiano maalum kushoto ni watangazaji wa kituo hicho Wilberd Kiwale na David Rwenyagira, kulia Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye pamoja na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo.
nape ngazi
Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akiwa anashuka kutoka katika studio za Redio5 mara baada ya mahojiano maalum na kituo hicho
nape 111
Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Kampuni ya TANMEDIA inayomiliki Kituo cha Redio 5 kilichopo Njiro jijini Arusha Robert Fransic katikati, pembeni ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack Kadogoo, mara baada ya kumaliza mahojiano maalumu nakituo hicho jana
(Habari Picha na Pamela Mollel wa JAMIIBLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA