NGWASUMA, TWANGA ZILIVYOMENYANA JANA NA KUTOKA ‘SARE=SARE’

Wema na Aunt Ezekiel wakiingia ufukweni hapo..
Ray naye akiwasili katika burudani hiyo.
JB akisalimiana na mtushabiki wake.
Mshereheshaji wa shoo hiyo, Musa Hussein, akitunzwa na Mshindi wa Big Brother 2014, Idris Sultan.

Twanga wakikamua jukwaani.
Umati wa watu wakisebeneka
Kalala Junior akiimba kwa hisia.

Luiza Mbutu akiyarudi ‘magoma’
FM Academia kazini
Patchou Mwamba akiwajibika.BENDI mbili kongwe nchini, FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ na African Stars ‘Twanga Pepeta’, jana zimeoneshana umwamba wa hali ya juu baada ya kumenyana vilivyo katika shoo ya ushindani iliyofanyika jana usiku katika Ufukwe wa Escape One, jijini Dar.
Shoo hiyo ya kufa mtu iliyohudhuriwa na mastaa kibao na mamia ya mashabiki kutoka maeneo mbalimbali jijini, iliendeshwa kwa mwendo wa ‘raundi’ ambapo awali Twanga ilianza kisha Ngwasuma ikafuatia na zamu hiyo ikajirudia tena kwa zaidi ya mara tatu kabla ya ushindi wa shoo hiyo kuwa pointi sawa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU