Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hotel ya Park Hyatt
Zanzibar iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar (kulia) Kaimu
Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora
Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini (katikati) Mmiliki wa Hoteli hiyo Sheikh
Ali Sayeed Albawardy [Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Hotel ya Park Hyatt
Zanzibar iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar (kulia) Kaimu
Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora
Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini (kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Sheikh
Ali Sayeed Albawardy [Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akifuatana na Sheikh Ali Sayeed Albawardy mmiliki wa Hotel ya
Park Hyatt Zanzibar alipotembelea sehemu mbali mbali za Hoteli
hiyo iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar baada ya kuifungua
rasmi leo.
Wasoma
utenzi Amina Mohamed na Khadija Ridhiwani (kulia) walipokuwa wakitoa
burudani hiyo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na viongozi mbali mbali wakati wa
sherehe za Ufunguzi wa Hotel ya Park Hyatt Zanzibar iliyopo mtaa
wa Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar leo .
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame
Mwadini akiwa Kaimu waziri wa Fedha alipokuwa akitoa hotuba yake ya
ufunguzi wa Hotel ya Park Hyatt Zanzibar kwa wananchi pamoja na
kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein azungumze na Wananachi baada ya kuifungua Hoteli
hiyo iliyopo mtaa wa Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake wakati alipokuwa akizungumza na wananchi na Viongozi
mbali mbali na wawekezaji walioalikwa katika ufunguzi wa Hotel ya Park
Hyatt Zanzibar yenye hadhi ya juu katika mtaa wa Mambo Msiige Mji
Mkongwe wa Zanzibar leo.
Baadhi
ya waalikwa mbali mbali wakiwemo wawekezaji na wafanyabiashara
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi na Viongozi
mbali mbali na wawekezaji walioalikwa katika ufunguzi wa Hotel ya Park
Hyatt Zanzibar yenye hadhi ya juu katika mtaa wa Mambo Msiige Mji
Mkongwe wa Zanzibar leo .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akiaagana na Sheikh Ali Sayeed Albawardy baada ya
kumalizika kwa sherehe za ufunguzi wa Hotel ya Park Hyatt Zanzibar
iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar (katikati) Meneja Mkuu wa
Hoteli hiyo Bi Mercela Heeendoerfer,[Picha na Ikulu.]
Comments