SELCOM KUIWEZESHA MANISPAA YA MOROGORO KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC


Naibu
Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akimkabidhi Meneja
Ukuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori  mkataba wa makubaliano ya
kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato anayeshudia katikati ni
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta. Makabidhiano hayo yamefanyika
Morogoro 
Naibu
Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akionesha mkataba walio saini na kampuni ya Selcom Tanzania baada ya kutiliana saini

kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta. na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori
Makabidhiano hayo yamefanyika Morogoro
Ofisa Ugavi wa Manspaa ya Morogoro,
Vincent Odero kushoto akijadiliana jambo na Meneja miradi wa Selcom
Gallus Runyeta. kulia katikati ni
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori  na Afisa techinolojia habari na mawasiliano ‘TEHAMA’ wa Manspaa haiyo Innocent Cosma 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*