UPENDO NKONE KUONGOZA TAMASHA LA PASAKA, ULINZI KUIMARISHWA

 Mjumbe wa Kamati ya Uratibu wa Tamasha la Pasaka, Khamis Pembe akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya Tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5, mwaka huu jijini Dar es Salaam, ambapo alisema kuwa pamoja na mambo mengine ulinzi utaimarishwa kwa kiasi kikubwa kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.. Kushotoni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama.

 Mwenyekiti wa kamati hiyo, Alex Msama (kushoto) anasema kuwa katika tamasha hilo, litaongozwa na msanii wa Tanzania, Upendo Nkone, ambapo  Bonny Mwaitege atazindua albamu yake mpya. Alisema wasanii wengine lukuki wa ndani na nje ya nchi watashiriki tamasha hilo ambalo pial itakuwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 15 tangu lianzishwe mwaka 2000.
Pia alielezea jinsi tamasha hilo lilivyosaidia kusomesha watoto yatima 350 na kutoa misaada mbalimbali ya vyakula na vifaa kwa vituo vya kulelea wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo wajane wamepatiwa mitaji yenye yenye thamani ya sh. mil. 79. Amesema kuwa kuwa kwa vile Tamasha la Pasaka lipo kwa watu wasiojiweza, kamati imeamua kujenga Kituo Kikubwa nchini cha kutolea misaada mbalimbali kwa ajili ya watu hao Pia alikemea mauaji ya Albino yanayoendelea nchini, ambapo ameishauri serikali kkuwakusanya watoto alibino na kuwaweka sehemu moja ambayo watapata huduma ya ulinzi na malazi hadi watakapokuwa ndipo waruhusiwe kutoka katika kambi hiyo. Pia aliwaasa viongozi wa siasa kuacha tabia za kishirikina ya kushawishika kutumia vioungo vya albino kwa lengo la kupata vyeo.

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Mwenyekiti wa Kamati ya Kuratibu maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, ambapo alielezea ujio wa wasanii wa muziki wa injili kutoka nchi za Afrika Kusini, Zambia,Malawi, Rwanda, Kenya na Burundi. Pia alielezea jinsi tamasha hilo lilivyosaidia kusomesha watoto yatima 350 na kutoa misaada mbalimbali ya vyakula na vifaa kwa vituo vya kulelea wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo wajane wamepatiwa mitaji yenye yenye thamani ya sh. mil. 79. Amesema kuwa kuwa kwa vile Tamasha la Pasaka lipo kwa watu wasiojiweza, kamati imeamua kujenga Kituo Kikubwa nchini cha kutolea misaada mbalimbali kwa ajili ya watu hao Pia alikemea mauaji ya Albino yanayoendelea nchini, ambapo ameishauri serikali kkuwakusanya watoto alibino na kuwaweka sehemu moja ambayo watapata huduma ya ulinzi na malazi hadi watakapokuwa ndipo waruhusiwe kutoka katika kambi hiyo. Pia aliwaasa viongozi wa siasa kuacha tabia za kishirikina ya kushawishika kutumia vioungo vya albino kwa lengo la kupata vyeo.

 Msama akisisitiza mbele ya wanahabari kuwaomba wananchi kwenda kwa wingi kwenye tamasha hilo litakalofanyika Uwanja wa Taifa, ambalo pamoja na kutoa burudani ya muziki wa njili, pia litakuwa ni sehemu ya kuhubiri kudumisha amani,na upendo miongoni mwa watanzania na nchi jirani.
Mjumbe wa kamati hiyo, akiwahakikishia watanzatania watakaokwenda kwenye tamasha hilo watafaidi uhondo tofauti na matamasha yaliyopita kwani wamejipanga vya kutosha.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kuratibu maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, ambapo alielezea ujio wa wasanii wa muziki wa injili kutoka nchi za Afrika Kusini, Zambia,Malawi, Rwanda, Kenya na Burundi. Pia alielezea jinsi tamasha hilo lilivyosaidia kusomesha watoto yatima 350 na kutoa misaada mbalimbali ya vyakula na vifaa kwa vituo vya kulelea wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo wajane wamepatiwa mitaji yenye yenye thamani ya sh. mil. 79. Amesema kuwa kuwa kwa vile Tamasha la Pasaka lipo kwa watu wasiojiweza, kamati imeamua kujenga Kituo Kikubwa nchini cha kutolea misaada mbalimbali kwa ajili ya watu hao Pia alikemea mauaji ya Albino yanayoendelea nchini, ambapo ameishauri serikali kkuwakusanya watoto alibino na kuwaweka sehemu moja ambayo watapata huduma ya ulinzi na malazi hadi watakapokuwa ndipo waruhusiwe kutoka katika kambi hiyo. Pia aliwaasa viongozi wa siasa kuacha tabia za kishirikina ya kushawishika kutumia vioungo vya albino kwa lengo la kupata vyeo.

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI