Waziri Mkuu, Mizengo Pinda AHITIMISHA ZIARA YA JAPAN

      

1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake wakizungumza na  Viongozi wa kampuni ya Japan ya  kuengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu ya NEC  ambayo inashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)  katika  suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaon Yono. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu, Kaono Yono baada ya kuzungumza na viongozi wa kampuni hiyo . Kampuni hiyo   nashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)  katika  suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaono Yono.
4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigana na Rais wa Shirika la Misaada la Kimataifa la Japan (JICA), B.  Akihiko Tanaka baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 18, 2015
5
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge la Japan kutoka Chama Tawala cha Liberal Democratic Party, Koya Nishikama (katikati) kwenye Ofisi za Bunge la Japan jijini Tokyo Machi 18, 2015. Wengine pichani ni maofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Japan.
6
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiagana na Mbunge wa Bunge la Japan kutoka Chama Tawala cha Liberal Democratic Party, Koya Nishikama  baada ya mazungumzo yao kwenye Ofisi za Bunge la Japan jijini Tokyo Machi 18, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*