JKT YAZIDI KUIBUA MIRADI



Kaimu Mkurugenzi wa habari na Mahusiano Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kaptaini Javan Bwai akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa
baadhi ya miradi ya Jeshi hilo. Kushoto ni Afisa Mteule daraja la kwanza, Injinia Fredrick Kaaya, Msemaji wa wizara ya ulinzi na usalama Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja Josephat Musira na wa mwisho ni Afisa wa Idara ya habari MAELEZO, Fatma Salum.



Mhandisi wa miradi Jeshi la kujenga Taifa (JKT) ,Coplo Lazaro Masanja (kushoto) akitoa 
maelekezo kwa Msemaji wa wizara ya ulinzi na usalama Jeshi la kujenga Taifa (JKT), Meja Josephat Musira, mara baada ya uzunduzi wa baadhi ya miradi ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam leo.


Baadhi ya wanahabari waliohudhuria katika uzinduzi wa baadhi ya majengo yaliyojengwa na Jeshi la kujenga Taifa (JKT).


Msasani Tower ni moja ya majengo ambayo yamejengwa na Jeshi la kujenga Taifa (JKT). (Picha Avila Kakingo).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.