Wananchi wakiangalia gari aiana ya Toyota Hiace ikiwa imetumbukia kwenye Mto Kiwira wilayani Rungwe, Mbeya, na kuua zaidi ya watu 19. Inadaiwa ajali hiyo imetokea wakati dereva wa Hiace hiyo akiwakimbia waliokuwa wakiendesha Toyota Coaster mbili waliokuwa wamegoma kusafirisha abiria.
Miili ya marehemu ikiwa imefunikwa
Daraja la Mto Kiwira
Miili ya marehemu ikiwa imefunikwa
Daraja la Mto Kiwira
Comments