PICHA TIMU YA MAGWIJI WA BARCELONA WALIVYOWASILI ZANZIBAR


Kikosi cha Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakitokea Arusha.

Rais wa Heshima wa Timu ya Barcelona Kocha Johan Cruyff, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar alipofika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
Waandishi wa habari za michezo Zanzibar wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa kuipokea Timu ya Wachezaji wa Wazamani wa Timu ya Barcelona 
Kikundi cha ngoma wakitowa burudani wakati wa ujio wa Wachezaji wa zamani wa timu ya Barcelona Zanzibar.
Viongozi wa vyama vya mpira Zanzibar wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wakiipokea timu ya Wachezaji wa zamani wa Barcelona walipowasili Zanzibar. 
Ndege ya Serikali ya Tanzania ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ikiwa imewabeba wachezaji wa nyota wa Zamani wa timu ya Barcelona wakiwasili Zanzibar.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar Bi. Shery Khamis akisalimiana na mchezaji nyota wa timu ya wachezaji wa zamani wa Barcelona Patrick Kluivert alipowasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
Wachezaji nyota wa timu ya Barcelona wakisalimiana na viongozi wa vyama vya michezo Zanzibar baada ya kuwasili katika uwanjani hapo.
Patrick Kluivert akitabasamu baada ya kushuka kwenye ndege.
Patrick Kluivert akicheza na mmoja wa wanakikundi cha burudani uwanjani hapo.
Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Zanzibar.
Patrick Kluivert katika picha ya pamoja na waandishi wa habari wa Zanzibar.
Barcelona wakipanda kwenye gari ili kuondoka kiwanjani hapo.
Kikundi cha ngoma wakitoa burudani.
Magwiji wa soka wa timu ya zamani ya Barcelona Hispania waliwasili visiwani jana Zanzibar kwa Mwaliko rasmi wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, lengo kuu ikiwa ni kuitembelea Zanzibar kujionea Vivutio vya Utalii na kujionea Vipaji vya Wachezaji Vijana wanaocheza katika timu mbalimbali za Watoto.
Nyota hao wa zamani wa Barcelona watakuwa dimbani leo jioni kukipiga na timu ya taifa ya zamani (Taifa Stars) katika Uwanja wa Taifa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*