SIMBA YA YAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA MGMBO JKT KWA MABAO 4-0 LIGI KUU YA VODACOM UWANJA WA TAIFA DAR ES SALA


Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu hiyo dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam .
Emmanuel Okwi wa Simba akipiga krosi kuelekea lango la Mgambo JKT, huku akiangaliwa na Bashiru Chanache wa Mgambo JKT, wakati wa mchezo huo.
Emmanuel Okwi wa Simba akishangilia bao lake la tatu aliloifungia timu yake hiyo, wakati wa mchezo huo leo Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Okwi amefunga mabao 3 kati ya 4 yaliyofungwa katika mchezo huo na kuondoka na mpira.
Emmanuel Okwi (kushoto) wa Simba akishangilia pamoja na Ibrahim Ajib (katikati) na Said Ndemla moja ya mabao yake 3 aliyoifungia timu yake hiyo, wakati wa mchezo huo  Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. 
Ubao wa matangazo ukionesha Simba mabao 3 na Mgambo JKT ya Tanga 0, wakati wa mapumziko ya mchezo huo.
Ibrahim Ajib, akiwa amempiga chenga golkipa wa Mgambo JKT, aliyedondoka huku akielekea kwenye goli la timu hiyo wakati wa mchezo huo. 
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu hiyo dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam . 
Hadi mwisho wa mchezo huo, Simba ilikuwa imeshinda mabao 4 na JKT Mgambo 0.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.