TUZO ZA RAIS KWA MAKAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI


Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni hiyo, kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka 2014 wa tuzo ya Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii  (CSRE). Hafla ya kutoa tuzo hizo ilikwenda sambamba na uzinduzi wa muongozo mpya wa makampuni hayo katika kutekeleza CSRE. Aanayeshuhudia ni Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene

Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla hiyo, wakipiga makofi

Makamu wa Rais, akimkabidhi tuzo, Meneja Ustawi wa Kampuni wa Mgodi wa North Mara, Abel Yiga, baada ya mgodi huo kuwa kinara katika migodi iliyomstari wa mbele katika kusaidia jamii, Kulia ni waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene

Makamu wa Rais, akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wa mgodi wa Buzwagi katika kusaidia jamii, Meneja wa Mgodi huo, Filbert Rweyemamu, huku waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene akishuhudia

Makamu wa Rais, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Acacia

Wafanyakazi wa Acacia, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi wa jumla

Mzee Mark Bomani, (kulia), akifurahia jambo na Meneja Ustawi wa kampuni, kampuni ya Acacia, Asa Mwaipopo

Makamu wa Rais akitoa hotuba yake

Abel (kushoto), akibadilishana mawazo na Alex Lugendo, ambaye ni mshauri wa kampuni ya Acacia, katika mahusiano baina ya kampuni hiyo na serikali


Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, akitoa hotuba yake

Makamu wa Rais, akimkabidhi tuzo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Mine, (GGM), 

Makamu wa Rais, akizindua muongozo wa makampuni ya uchimbaji madini katika wajibu wao wa kusaidia jamii inayozunguka shughjuli zao za uchimbaji. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Waziri Simbachawene, Kamishna wa madini, Paul Masanja, na Afisa Mtendaji Mkuu, wa Jukwaa la wadau wa uchimbaji madini (EISF), Catherine Iyombe

Dkt. Bilal akimkabidhi tuzo ya  Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii  (CSRE), Mkurugenzi Mtendaji wa Mantra-Tanzania, Frederick Kibodya. Anayeshuhudia ni Waziri wa Nishati nna Madini, George Simbachawene

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.