WATANZANIA WAFANYA VIZURI MBIO ZA NGORONGORO MARATHONI 2015.

      

Waziri mkuu Mstaafu ,Fredrick Sumaye akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo
waandaji buda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la
kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro,
Waziri mkuu Msaatfu Fredirick Sumaye
akikimbia sambamba na rais wa shirikisho la riadha Tanzania,RT,Athony
Mtaka(Kushoto kwake) mkuu wa mkoa wa Arusha ,Daud Ntibenda,pamoja na
mkuu wa wilaya ya Karatau Omary Kwaang kuashiria kuanza kwa mbio za
Ngorongoro Marathoni.
Maratibu wa Mbio ,Meta Paul akiwa na mmoja
wa wasiamamizi ,Leila wakati wakiwaandaa wanariadha kuanza mbio za Km
21 katika lango la kuingilia hifadhi ya taifa ya
Ngorongoro.
Mbio zikianza rasmi.
Baaadhi ya washiriki katika mbio hizo
,walikuwemo pia wadhamini kama Maremga Investment,hapa Marenga mwenye
truck suit nyeusi akijaribu kukimbiza upepo.
Awawli mbio zikiwa bado ndio zimeanza kundi
la wakimbiaji lilionekana wote wanakimbia kwa karibu.
Muda ulivyosonga na hatua ndivyo zilivyo
ongezeka.
Hatimaye wakaanza kuachana mmoja baada ya
mmoja,
Wengine wakaamua kwenda pamoja ili kupeana
moja.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*