WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA NA UJUMBE WAKE AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KUNDI LA AFRIKA


3
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akielezea jinsi Tanzania inavyotekeleza sera zilizowekwa na mashirika ya kimataifa kama (WB) na (IMF) kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrikca Group Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe.kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile.
2
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrikca Group 1 Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akifuatiwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip Mpango.Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na kufuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.Pamoja na ujumbe kutoka Tanzania.
1
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiandika maelezo na hoja kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrika Group 1 Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na akifuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.
5
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania walipokutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na Bw. Ngosha Saidi Magonya, Kamishna wa Fedha za nje.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani – Washington Mhe.Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na Bw. Laston Msongole ambaye ni Mtendaji Mkuu wa mfuko wa milenia wa awamu ya pili.
6
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akisikiliza kwa makini maelezo na msimamo wa uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) hawapokwenye picha.Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani – Washington DC. Mhe.Liberata Mulamula.
8
Makamu wa Rais wa shughuli za operesheni za mfuko wa Changamoto za Milenia, Bw. Kamran Khan akizungumza na ujumbe kutoka Tanzania na kutoa maelekezo ya jinsi ya kuutumia mfuko huo nchini Tanzania.
9
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania walipokutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) hawapo kwenye picha. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na Bw. Ngosha Saidi Magonya, Kamishna wa Fedha za nje.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani – Washington Mhe.Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa.
(Picha zote na Ingiahedi Mduma- Washington DC.)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA