ZITTO KABWE MOROGORO


Viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini humo jana kabla kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe hajaanza kuhutubia katika mji wa Morogoro jana.Zitto Kabwe akihutubia wananchi wa Morogoro jana.Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro jana.Umati wa wananchi Kiongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo Zitto Kabwe, akishiriki kuzika miili ya watu walioungua kwa moto uliotokana na ajali jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*