Ajabu Ya Papa Na Nyangumi Wa Nchi Ya Kusadikika..

                                                                     
 

Ndugu zangu,
Ilipata kutokea Vita kubwa kwenye nchi ya Kusadikika. Ni vita ya papa na nyangumi kwenye bahari ya kusadikika. Kuna hata waliodiriki kuiita ' Mama wa Vita Vyote' kuwahi kutokea kwenye bahari ya kusadikika. Na kweli ni vita iliyotikisa mawimbi..!
Nikiwa kama mmoja wa wachambuzi wa mambo kwenye nchi ya kusadikika nikaandika kwenye moja ya makala zangu; kwa kufuatilia vita vile, Wasadikika lazima waelewe, kuwa papa na nyangumi wote ni samaki.
Sikuwa hata na chembe ya shaka, kuwa nilikuwa sahihi.
Picha hapo juu haihusiani kabisa na simulizi hii ya Mwenyekiti wenu!
Maggid
Kajificheni, Kitongoji kwenye nchi ya Kusadikika

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI