MABONDIA WAPIMA UZITO KUTWANGANA KESHO PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI


Bondia Raymond Mbwago kutoka katika Super d Boxing Clab ya Uhuru Kariakoo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala kulia niu msimamizi kutoka katika kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Salim Mponda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho utakaofanyika katikas ukumbi wa panandi panandi ilala bungoni kulia ni Alli Bakari Champion ambaye ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi TPBC Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ramadhani Maonya kutoka Super D Boxing Clab iliyopo Shule ya Uhuru Kariakoo akipim uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam kulia ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Ally Bakari Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msimamizi wa marefarii wa mchezo wa masumbwi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari kushoto akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia Ramadhani Maonya kulia na Bilali Ngonyani katikati Picha na SUPER D BOXING NEWS

Msimamizi wa Marefarii kutoka Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini TPBC Ally Bakari kulia akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia waliojitokeza katika kupima kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa pandi panandi ilala bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS
-- 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI