BLOGGER ADAM MZEE AFUNGA NDOA NA LILLIAN MALEKIA

ADA3Bwana Harusi Adam Mzee na mkewe Lilian wakiwa wamepozi mara baada ya kufunga ndoa na kufanya sherehe nyao kubwa kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam jana Hongereni sana Bwana Adam Mzee kwa kuachana na ukapera.
ADA1Bi Lilian Akipozi kwa picha.
ADA2Maharusi wakiingia ukumbini ADA4Maharusi wakipiga picha na Marafiki.
ADA5
Adam Mzee na mkewe akipiga picha na mabosi wake wapili kutoka kulia ni Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM na wa tatu kutoka kushoto ni Nape nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Adam Mzee ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi CCM.


 Mrs.Adam Mzee  mara baada kufunga pingu za maisha.
 Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi,waliosimama kutoka kushoto ni,Merry Geofrey,Sheila Simba,Hafidh Kido ,John Bukuku,Suleiman Mwenda,Micky, Said Mwishehe,Sharifa,Neema Mwangomo,Abdala Kiluke,Mringi Petro ,katika Harusi ya Adam Mzee iliyofanyika katika Ukumbi wa Kivukoni,Serena Hotel.

Adam Mzee ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ,Idara ya Itikadi na Uenezi,na ni mmiliki wa  blog maarufu ya Kamerayangu na Lilian ni mtumishi wa NMB Makao Makuu.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi,Ndugu Abdurahman Kinana wa pili kulia,na Katibu wa Nec,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wa tatu kutoka kushoto,wakiwa na Mr & Mrs Mzee.

 Maharusi wakituzwa na Ndugu na marafiki wakati wakutoa zawadi.
 Maharusi wakiwa na wapambe wao,katika picha ya pamoja na wanakamati walipoenda kutoa zawadi na kuwapogeza maharusi.
Mr &Mrs.Adam Mzee

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.