HABARI MPASUKOOO!!!!!! RAIS NKURUNZIZA AREJEA BURUNDI


Rais Pierre Nkurunziza (pichani)  yadaiwa amejerea nchini mwake, baada ya kuwepo kwa jaribio la kumpindua akiwa nchini Tanzania kuhudhuria kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokuwa wakijadili mgogoro wa Burundi.

Maafisa wa serikali wanasema kurejea nyumbani kwa Rais huyo sasa ni ishara kuwa jaribio la kumpindua limeshindikana.

Wakati Rais Nkurunziza akiwasili taarifa za hivi punde zinasema mmoja wa majenerali waliojaribu kuipindua serikali amekiri kuwa jaribio lao linaonekana kuwa limeshindwa

Na kujua zaidi taarifa za kurejea nyumbani kwa rais Nkurunziza awali John Solombi alizungumza na Msemaji wa serikali ya Burundi Jevier Abayeho.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI