KAULI YA MWISHO YA MANNY PACQUIAO DHIDI YA MAYWEATHER

Siku moja tu imesalia kabla ya pambano la kimataifa la masumbwi, kati ya wakali wawili Manny Pacquiao na Floyd Maywether the money team,ambao watapanda ulingoni na kutusanua nani mkali zaidi.
Jana kwa nyakati tofauti wakali hawa walizungumza na fans waliofurika katika ukumbi wa MGM grand, Mayweather jr amedai kuonesha uwezo na kumchapa mfilipino huyo
“Nimejiandaa vizuri,na nitamdunda Manny”
 alitamba TMT.
Kwa upande wake mwanamasumbwi Pacquiao amedai hakuwahi kumuogopa Floyd na wala hadhani kama atachezea kichapo
“Maywether atajuta,sikuwahi kumuogopa wala kuhofia kucheza nae” 
Pacquiao alifunguka.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.