KOCHA STARS ASEMA WALICHEZA POA SANA SEMA HAWAKUFUNGA TU


Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema Taifa Stars ilifanya kila kinachowezekana kushinda dhidi ya Swaziland, lakini bahati haikuwa yao.


Akihojiwa na runinga ya SuperSport mara baada ya mechi hiyo ya kwanza ya Kombe la Cosafa, Nooij alisema Stars ilishambulia zaidi lakini tatizo lilikuwa katika kupata bao.

"Tulicheza vizuri zaidi, tulipata nafasi zaidi lakini tulishindwa kupata bao la kusawazisha.

"Lengo lilikuwa angalau kusawazisha, lakini utaona hatukuweza kufanikiwa na utaona wenzetu wametumia nafasi moja tu waliyipata," alisema.

Stars imeanza michuano ya Cosafa kwa kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Swaziland.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI