KONYAGI YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE

 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia mabati, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.
 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia saruji, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.

 Inspekta John Mkweru (kushoto) akiangalia msaada wa misumari uliotolewa na Konyagi kwa kituo hicho.
  Mkaguzi wa Hesabu wa Konyagi, Thomas Munema (kulia), akikabidhi MISUMARI YA KENCHI  KWA DEPUTY RCO WA CHANG'OMBE SP RAMADHANI KINGAI
 Gari la Konyagi lililobeba msaada huyo

 Mkaguzi wa Hesabu wa Konyagi, Thomas Munema  (kushoto), akimkabidhi nyaraka za msaada huo, Inspekta Philip Bura.
 Mkaguzi wa Hesabu wa Konyagi, Thomas Munema (kushoto), akimkabidhi fedha Inspekta Philip Bura kwa ajili ya  mafundi watakaojenga kituo hicho.

Jengo la ofisi ambalo vifaa hivyo vitatumika kujengea

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.