MAFURIKO DAR YASABABISHA VIFO VYA WATU WANANE

 Lori lililokuwa limebeba kokoto likiwa limezama kwenye Mto Msimbazi, karibu na daraja la Kinyerezi baada ya kutokea mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha  jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki ni kwamba watu wanane wamekufa kutokana na adha ya mafuriko hayo.
 Kijana ambaye jina lake halikupatikana mara moja akimbeba msichana kumvusha kwenye mafuriko kwa malipo ya Sh. 2,000 eneo la Jangwani Dar es Salaam


 Foleni ya magari Bonde la Mkwajuni, Kinondoni
 Mafuriko Bonde l;a Mkwajuni, Kinondoni

 Wananchi wa Bonde la Mkwajuni Barabara ya Kawawa wakiwa wamehifadhiwa jirani na nyumba ya Mjumbe Sofia Philipo baada ya nyumba zao kujaa maji jana kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam

 Bonde la Mkwajuni
 Waathirika wa mafuriko wakipatiwa msaada wa vyakula

 Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakivushwa kwenye mafuriko kwa kila mmoja Sh. 2,000 maeneo ya Jangwani Dar es Salaam. Barabara ya Morogoro eneo la Jangwani ilifungwa kwa muda baada ya mafuriko hayo kufunika daraja.



 Mambo ya Jangwani hayo








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA