Daktari Benher Wankede (katikati) akionesha mfano kwa kuendesha mashine inayotumia kifaa maalumu kumfanyia ukinachotumika katika upasuaji kwa kuziba matundu yaliyoko kwenye moyo bila ya kufungua kifua kama ilivyozoeleka awali katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam jana. Mgonjwa aliyelazwa kwenye mashine hizo ni Aikande Zakaria. Kushoto ni Polycarp France na kulia ni OfisaMuuguzi wa hospitali hiyo Joyce Nnembuka. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
0566.Daktari Bingwa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili na Kaimu Mkuu wa Idara ya Tiba na Upasuaji katika kitengo hicho,akizungumza na Waandishi wa Habari pichani hawapo wanavyofanya Tiba ya Moyo bila ya kufanya Upasuaji kwa kuziba matundu yaliyoko kwenye moyo kwakutumia Kifaa maalum bila ya kufungua kifua kama ilivyo zoeleka(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
.Daktari Bingwa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili na Kaimu Mkuu wa Idara ya Tiba na Upasuaji katika kitengo hicho,akizungumza na Waandishi wa Habari na kuwaonyesha matumizi ya mirija ya Plastiki(CATHETER) unavyo fanya kazi wakati wa Oparesheni hiyo Dar es Salaam jana(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments