MWAFRIKA AVUNJA REKODI YA FOWLER, AWEKA REKODI MPYA YA HAT TRICK PREMIER LEAGUE

Sadio Mane raia wa Senegal barani Afrika amefunga mabao matatu na kuweka rekodi mpya ya hat trick katika Premier League.

Mane amefunga mabao matatu ndani ya dakika tatu wakati Southampton ikiivaa Aston Villa iliyokuwa ugenini.

Rekodi ya Hat trick ilikuwa inashikiliwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Robbie Fowler  aliyefunga mabao matatu ndani ya dakika tano.


Rekodi hiyo ya Fowler imeendelea kudumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka nane.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.