Mwenyekiti
wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto
akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na
mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa
panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi .
Bondia
Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano
uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es
salaam Bwago alishinda kwa point.
Bondia
Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano
uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es
salaam Bwago alishinda kwa point.
Comments