Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Waalimu Tanzania(CWT)

kjj1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA( CWT) uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa mkutano huo wanachama wa CWT ulitarajia kuwachagua viongozi wapya wa chama Hicho.Akizungumza katika  mkutano huo Rais Kikwete ameahidi kutatua changamoto moto mbalimbali zinazowakabili waalimu nchini(picha na Freddy Maro)
mr1
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akisalimiana na walimu waliofika katika mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) unaoendelea  jijini Arusha .Jumla ya walimu 1000 wanahudhuria mkutano huo kutoka sehemu mbalimbali nchini.Picha na Mahmoud Ahmad
mr2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akiteta jambo na mmoja kati ya Waasisi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Thom Abieko jana wakati alipofungua mkutano mkuu wa chama hicho jijini Arusha.Jumla ya walimu 1000 walihudhuria mkutano huo kutoka sehemu mbalimbali nchini.Picha na Mahmoud ahmad
mr3
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) unaoendelea  jijini Arusha .Jumla ya walimu 1000 walihudhuria mkutano huo kutoka sehemu mbalimbali nchini ambapo Raisi Kikwete alihutubia.Picha na Mahmoud Ahmad
mr4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akizungumza jambo  na mmoja kati ya Waasisi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Thom Abieko jana wakati alipofungua mkutano mkuu wa chama hicho

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*